#naamkatena

1,285 posts tagged with #naamkatena

Photos and Videos about #naamkatena

How often do you clean your make up brushes? You need to clean your brushes regularly to remove the build up of make up, oils and bacteria. This will help to keep your skin clearer and your make up looking it’s best! Use a gentle facial cleanser such as #arbonnecalm 💚

Happy Birthday Tanzanian female legendary in Music Industry @jidejaydee #naamkatena #woman #anaweza #ladyjaydeeafricatour #ladyjaydee #wandex📷

(@deemwita)

1969-12-31 16:00:00

(@deemwita)

1969-12-31 16:00:00

@kinasawazi_mbeya pembeni @chantbiz18 nyuma ya camera @nsagguar n @jacobrichard37

LET THEM KNOW #qoutes #tunaamkaupya #naamkatena 22nd August ,2017

Siku zote kufanya kazi kwa bidii hulipa JIUNGE NA ORIFLAME mafanikio mikononi mwako ..... #naamkatena #oriflamemaishani #kaziyangumafanikioyangu

It's not easy... So keep moving, keep growing, keep learning ....see you at work 💪 #naamkatena #tukutanekazini #afyayamwilinaroho #motivation

Better late than never.. #naamkatena #2017ismyyear #doingitagain

Recho
(@rachel__kizunguzung)

2016-12-06 01:13:41

Congratulations Post... Tarehe 10 November mwaka huu tuliandika makala kuhusu sakata la @jidejaydee na @cloudsfmtz Clouds Media Group. Lengo la makala hiyo ilikuwa ni kuwakumbusha wapi wametoka pamoja katika kusukuma bongo flava yetu ifike hapa tulipo leo. Na focus yao iwe kwenye kile wanachopoteza na sio kile wanachopata kupitia ugomvi wao. #thecamp ilitamani siku kama ya leo ifike na tunashukuru Mungu yametimia. Baada ya kusikiliza interview ya @Rugemutahaba kupitia kipindi cha #xxlcloudsfm tulipata matumaini zaidi baada ya kusema wanasubiri ruhusa ya kucheza ngoma za @jidejaydee. Finally the day has come,@jidejaydee na uongozi wake wametoa ruhusa ya ngoma zake kuchezwa kupitia kituo hicho na kuwa moja ya ishara wa kumaliza tofauti zao. we have given peace a chance. There's no path for Peace, Peace is the path. Ili sanaa yetu isongee mbele zaidi inabidi tufahamu wote kwa pamoja tunategemeana.. Media, wasanii na mashabiki kwa pamoja tujenge bongo flava mpya tunayoitaka.. Huu ni mfano mzuri wa kuigwa katika sanaa yetu. #thecamptz #thecamp #iconicgenre #bongoflavampya #congrats #naamkatena #congratulationspost #warningpostsoon - #regrann

The Camp™
(@thecamptz)

2016-12-01 12:10:52

The Camp :- Congratulations Post... Tarehe 10 November mwaka huu tuliandika makala kuhusu sakata la @jidejaydee na @cloudsfmtz Clouds Media Group. Lengo la makala hiyo ilikuwa ni kuwakumbusha wapi wametoka pamoja katika kusukuma bongo flava yetu ifike hapa tulipo leo. Na focus yao iwe kwenye kile wanachopoteza na sio kile wanachopata kupitia ugomvi wao. #thecamp ilitamani siku kama ya leo ifike na tunashukuru Mungu yametimia. Baada ya kusikiliza interview ya @Rugemutahaba kupitia kipindi cha #xxlcloudsfm tulipata matumaini zaidi baada ya kusema wanasubiri ruhusa ya kucheza ngoma za @jidejaydee. Finally the day has come,@jidejaydee na uongozi wake wametoa ruhusa ya ngoma zake kuchezwa kupitia kituo hicho na kuwa moja ya ishara wa kumaliza tofauti zao. we have given peace a chance. There's no path for Peace, Peace is the path. Ili sanaa yetu isongee mbele zaidi inabidi tufahamu wote kwa pamoja tunategemeana.. Media, wasanii na mashabiki kwa pamoja tujenge bongo flava mpya tunayoitaka.. Huu ni mfano mzuri wa kuigwa katika sanaa yetu. #thecamptz #thecamp #iconicgenre #bongoflavampya #congrats #naamkatena #congratulationspost #warningpostsoon

PART 3- Kuna talents za wadada ambao kipindi iko walikua vizuri lakini hawakupewa airtime sababu utamaduni wetu ni kutengeneza Star mmoja na tukileta mwingine lazima mmoja ashushwe na hii imeanzia kwenye radio yetu pendwa. Kama tuliwapoteza wale kwanini tusikitunze hiki tulichonacho leo? Kauli ya Rais Mh.John Magufuli inasema mtu alipwe kutokana na kazi aifanyayo, habari za kupenyeza zinasema Clouds ni wanyonyaji kwanini lakini hatupendi kufanya mambo fair? Kupigana na nchi nyingine ni rahisi sababu nchi nzima inapigana kwa pamoja lakini vita vya wenyewe kwa wenyewe sio busara. Ifike wakati tutambue industry ni kubwa sana na wote kwa pamoja tunahitaji kuunganisha nguvu ili kuifanya iwe bora zaidi sababu hakuna anayeipatia ata kama unamiliki nini na kwa ukubwa gani.Ninge shauri kesi ifutwe mahakamani na mkae kama ndugu kama wakati mnaanza fanya kazi pamoja na mtangazie umma kwamba #imekwisha ili kwa pamoja tutengeneze #bongoflavampya tunayoitaka..#thecamptz #thecamp #iconicgenre #bongoflava #ladyjaydee #likes #follow #flava #naamkatena #cloudsmediagroup #jidejaydee

The Camp™
(@thecamptz)

2016-11-10 09:59:42

PART 3- The Camp :- Kuna talents za wadada ambao kipindi iko walikua vizuri lakini hawakupewa airtime sababu utamaduni wetu ni kutengeneza Star mmoja na tukileta mwingine lazima mmoja ashushwe na hii imeanzia kwenye radio yetu pendwa. Kama tuliwapoteza wale kwanini tusikitunze hiki tulichonacho leo? Kauli ya Rais Mh.John Magufuli inasema mtu alipwe kutokana na kazi aifanyayo, habari za kupenyeza zinasema Clouds ni wanyonyaji kwanini lakini hatupendi kufanya mambo fair? Kupigana na nchi nyingine ni rahisi sababu nchi nzima inapigana kwa pamoja lakini vita vya wenyewe kwa wenyewe sio busara. Ifike wakati tutambue industry ni kubwa sana na wote kwa pamoja tunahitaji kuunganisha nguvu ili kuifanya iwe bora zaidi sababu hakuna anayeipatia ata kama unamiliki nini na kwa ukubwa gani.Ninge shauri kesi ifutwe mahakamani na mkae kama ndugu kama wakati mnaanza fanya kazi pamoja na mtangazie umma kwamba #imekwisha ili kwa pamoja tutengeneze #bongoflavampya tunayoitaka..#thecamptz #thecamp #iconicgenre #bongoflava #ladyjaydee #likes #follow #flava #naamkatena #cloudsmediagroup #jidejaydee

The Camp™
(@thecamptz)

2016-11-10 09:59:10

PART 2- The Camp :-It is well known that in war, the first casualty is truth, that during any war truth is forsaken for propaganda. Focus yetu iwe kwenye kile tunachopoteza katika kutoelewana kwa pande hizi mbili na sio kile tunachopata.Imagine that, #ndindindi na #sawanawao zingepata sapoti kutoka @cloudsfmtz unadhani nini kingetokea? Unahisi kati ya hizo mbili @jidejaydee asingepata nominations kubwa mfano #mtvmama? Ni kweli my mama lady jaydee can make it on her own but for how long and at what efforts? Baada ya miaka 5 au 10 ijayo usishangae @Yemialade atakapoonekana kama mama wa Afrika wakati tunaye hapa anapigana vita vya nyumbani.Same to Clouds imagine if we could have a brand that reflects only talents growth and nothing else. Mngeleta mapinduzi makubwa Afrika katika burudani kwa ubunifu mkubwa walionao @josephkusaga na @rugemutahaba. Kama Mr.Sugu amerudi mjengoni inashindikanaje kwa Komando and the funny part hata majina yenyewe yanaendana that means mambo yanamwanga wakuisha but only when one agrees to step down. Vita haiamui nani yuko sahihi bali yule aliyebaki mzima. Older men declare war but it is the youth that fight and die. Wako wapi mapacha wale wa pasu kwa pasu.Juzi tumesikia ya @iamrubyafrica kufuata njia ya mama Jide. War is a massacre of people who don't know each other for the profit of people who know each other but don't massacre each other. Ni mjinga tu atayeona eti upande fulani umeshidwa wakati huo upande umekubali kuyajenga. Tusiitamani dunia na kupoteza utu wetu, busara ni bora kuliko shaba na dhahabu. Ata beef la hawa wajukuu wa bongoflava tunategemea kuona mkiwaita na kuwakanya sababu nyie ni viongozi wakubwa katika sanaa yetu. Kwa kumbukumbu @jidejaydee ndiye msanii wa kwanza kutuonesha neno #muzikinamafanikio kivitendo na kuweza kumiliki gari za kifahari na mijengo mikali na miradi ya kueleweka hapa Tanzania chini ya usimamizi huo huo wa Clouds yani @rugemutahaba na @josephkusaga. Naamini, siku zote ukiwa juu lazima ucheze foul kwa wengine ili wasikufikie. To be continued..... #thecamptz #thecamp #iconicgenre #naamkatena #cloudsmediagroup #bongoflava mpya

The Camp™
(@thecamptz)

2016-11-10 23:13:42

PART 1- The Camp : Article of the day.. Maana halisi ya neno #bongoflava ni kutumia ubongo/common sense na kupata ile radha ya chemshabongo aliotuonesha @professorjay na muziki huo kukubalika na rika zote. Cha kusikitisha karibu watu wote kwenye industry wanaenda kinyume kabisa na neno bongoflava. Usinambie kwamba fulani ni genius sababu kaweza kupata thamani ya x lakini ameshindwa kupata jibu la 1+2. Huwezi sema mtu ana busara kwa kutatua matatizo ya wengine ila yake hawezi.Ndio maana watu huona ndoa ngumu kwasababu hata msuluhishaji yakimkuta uona gharika. The key is to look at your life as a Patient and a Doctor.Tunaposema Bongoflava tunawazungumzia Clouds Media@cloudsfmtz,Mr Sugu ,@Professorjaytz na mwanamke,kwa heshima ni mama wa Bongoflava aliye wainspire hawa vijana wetu wengi wa leo simwingine ni @Jidejaydee. Tutawezaje kuhesabu kuanzia 2 huku tukisahau namba muhimu ya mimi ambayo ni 1 alafu wewe ndio tupate sisi. Hatuwezi na haitakuwa fair kama tukijifanya kusolve tofauti kati ya @Officialalikiba na @Diamondplatnumz huku tukivaa mawani kwa jambo ambalo litaleta lile tumaini la watanzania wengi na kujenga msingi imara kwa sanaa yetu. Katika maandiko hasa kitabu cha Enock kinaonesha wazi kwamba baada ya Lucifer kupata ile tamaa yakuwa juu zaidi. Bwana Mungu alimpa nafasi ya kuanza upya yeye na wale roho waovu japo kule kujiamini kwake kulizidi na mpaka leo vizazi na vizazi vinateseka sababu ya mtu mmoja aliyeshindwa kujirudi. Katika ubishani mtaani wa hizi team mbili za Instagram, anko mmoja alisema anayeweza maliza tofauti za Naseeb na Ali ni Clouds Media na yeye tu ndiye anaeweza kusikilizwa. Swali, kama kwao hii ni ishu ndogo hii na @jidejaydee ni kubwa? Why not Jaydee? Hili ni swali kubwa linalosumbua akili yangu. All war is a symptom of men's failure as a thinking animal. Vita utoke pale lugha inaponyimwa nafasi. Kwa upeo wangu ndogo, hakuna anayetaka kuonekana amerudi nyuma ktk maamuzi yake lakini tujiulize yupi mwenye busara kati ya anaetaka kutengeneza bongoflava mpya kwakukubali tulikosea au anaetaka kuendeleza misimamo yake ya kwamba alikuwa sahihi? To be continued... #thecamptz #thecamp #iconicgenre #ladyjaydee #bongoflavampya #naamkatena

The Camp™
(@thecamptz)

2016-11-09 02:22:34

The Camp :- Attention Post.... Soon tutaweka makala ya vile tunavyotizama beef hili linachoendelea baina ya @jidejaydee na Clouds Media Group chini ya uongozi wa @josephkusaga na @rugemutahaba. Nini mtazamo wako kuhusu aya yanayoendelea kati yao? Tafadhali, naomba mrepost kwa kadri mwezavyo ili ujumbe uwafikie wengi wenye mapenzi mema na #bongoflavampya... #thecamptz #thecamp #iconicgenre #ladyjaydee #attentionpost #attention #bongoflava #greatesartist #machozi #naamkatena

The Camp™
(@thecamptz)

2016-11-08 06:16:21

The Camp :- Attention post... Anaitwa Judith Wambura aka Commando Jide, @jidejaydee Je, lile vuguvugu la Anaconda limeleta impact gani katika muziki wake na bongoflava kiujumla? Je, unadhani ameweza kurudi kwenye game baada ya ukimya usiokuwa na majibu kama alivyotuhaidi kwa kampeni yake ya #naamkatena? Tufollow #thecamptz na weka Notification ili uwe wa kwanza kupata makala ya uchambuzi wa kina kumuhusu. Waweza repost kwa hashtag hii #bongoflavampya. #thecamp #iconicgenre #ladyjaydee #like #repost #greatest #artist #bestofalltime #jidejaydee #attention #attentionpost

Before #kupatwakwajuha day end in Tanzania, is a #tbt from the library... Kutoka maktaba is #zumbathon with #zumbafitnesstanzania team #movetogive #charityevent #stophivstigma #publicheath #zumba #musicismydrug #mwendokasi #daressalaam #tanzania #kipepeo #naamkatena #zumbainapark Sponsored by #asas @asas_dairies @ahmed.asas @williamkiwara supporting communities @coolbluetz 🙌🙌 Get motivated, #movetheworld Revolutionize Zumba To rock this & similar routines, join us every Tues, Wednesday & Thursdays evening @OnePlanet preschool & @wetrainartists

When your #fave is on stage @steveboedt @steveboedt @steveboedt You two nailed it!! @kassmartin #zin64 #zumba #movetogive #mexico #daressalaam #tanzania #zumbafitnesstanzania #naamkatena #huumchezohauhitajihasira Zumba next week, Tuesdays, Wednesdays & Thursdays 👯

Zumba buddies, as you know Zumba had been on 'hiatus' in @victoriachale 's voice We are coming back!! Bigger & better 👯👯👯 #bringourzumbaback #zumbafitnesstanzania #zumba #zumbacrew #vacationsover Tu #naamkatena in Jide's voice #ukuta... Umoja Wa Kukutanisha uZumba Tanzania #hapazumbatu #tanzania #darsalaam Looking forward to seeing you all xx

Ednah K K
(@foreverhealtour)

2016-08-25 12:41:27

Your warmly welcome this Saturday to learn how to rise your economy and watch movie for more Call0716697864 (Ninakualika siku ya jumamosi kwenye mafunzo ya biashara na uchumi kwa ujumla pamoja na kutizama muvi kwa maelezo piga 0716697864)@wolperstylish @diamondplatnumz #mzikimnene #naamkatena #change #monday #success #dream #economics #money #positivevibes

Ednah K K
(@foreverhealtour)

2016-08-14 00:14:40

Gift for your love. Get yours 30% discount + free delivery Call 0689324578 @sammisago @ecejay @auntyezekiel @mamasabrina1 @fezakessy @diamond__platnumz @officialalikiba @bahatikenya @chidinmaekile @wemasepetu @lemutuz_nation @daynanyange @queendarleen4real @harmonize_tz @zarithebosslady @beautybyttee #rio #naamkatena #inde #beautylady #luxury #bleupearl #kempinski

Ednah K K
(@foreverhealtour)

2016-08-12 03:18:23

Do you have a dreams? Let's meet tomorrow and have a talk with professional business men and women who are very successful. For more info 0716697864 #dreamers #moneychallenge #perfect #chaser #rise #shine #wema_daily #naamkatena #natafutakiki #tigofiesta #chicco #irene #angel #success

Ednah K K
(@foreverhealtour)

2016-08-11 22:23:21

Kwa punguzo kubwa la bei ubora ucoelezeka. Ondoa sumu mwilini Dhibiti sukari, presha. Safisha mafigo,ini Ongeza virutubisho na nguvu Kuipata bidhaa bora 0716697864 #habariyamjini #healthy #strongman #slimyourbody #womensfashion #naturalproducts #womanhealth #disney #diamond_platnumz_chibu #wemasepetu #careman #aytanzania #husler #naamkatena #joint

Ednah K K
(@foreverhealtour)

2016-08-11 06:35:55

Ni bidhaa bora kabisa zimewasaidia wengi kuimarisha mahusiano yao,ntakuletea free of charge popote ulipo Nicheki 0716697864 #teamdiamondplatnumz #wolper #strongman #healthy #juma_jux #zaricute #ecejay #careman #tigofiesta #naamkatena #

allainkaz
(@tanana_jr)

2016-08-11 00:28:24

TANGA TANGA TANGA TANGA TANGA TANGA TANGA TANGA TANGA Ni LADY JAYDEE @jidejaydee anakuja kuwaburudisha na kuwa elimisha na kitu ya live Performance simnujua vile ufanyaga njoen kwa wingi zaid ili #naamkatena ndani ya tanga kunani kwa #wajaleowaondokaleo wenyew mnasema eti #mapenziyalikozaliwa njoeni mtupe mapenzi ya dhati kwa Dada etu kipenzi @jidejaydee mi namuitaga QUEEN. #sawanawao #jaydeenation #nguvuyaumma #tangacitysavethedate

#naamkatena kwa wakazi wa morogoro sio ya kukosa

Ally Linje
(@allylinje)

2016-07-16 02:11:41

MOROGORO #naamkatena concert 22.7.2016 venue;Tanzanite Complex hall Time;From 7pm Call #0785454506 for more info 10000 Tickets Zinapatikana 1.Planet Fm 2.Down Town Club 3.Hilux Lodge ( Msufini) or #call 0785454506 Usikoseeee...... #morogoro @Jidejaydee

allainkaz
(@tanana_jr)

2016-07-05 16:35:02

when somebody loves you.. love you all the way Tukutane arushaaaaaaa na moshi arifuu Naamka Tena Concert Arusha Powered By RADIO 5 The Most Powerful Radio At KIBO PALACE HOTEL VIP 50,000/= NORMAL 20,000/= Eid Pili Watoto Show At LIFE FITNESS CLUB 5,000/= 10am-6pm #naamkatena #sawanawao #sawanawao #sawanawao

allainkaz
(@tanana_jr)

2016-07-05 04:09:02

Naamka Tena Concert Arusha Powered By RADIO 5 The Most Powerful Radio At KIBO PALACE HOTEL VIP 50,000/= NORMAL 20,000/= Eid Pili Watoto Show At LIFE FITNESS CLUB 5,000/= 10am-6pm #naamkatena #sawanawao #sawanawao #sawanawao

Kriv B Kivumbi
(@kriv_b)

2016-07-05 02:05:24

#naamkatena Arusha Eid Mosi - KIBO PALACE HOTEL 10pm- 1am Eid Pili Watoto- LIFE FITNESS CLUB 10am-6pm #naamkatena Moshi Eid Pili - HUGOS GARDEN 10pm-1am Kwa Maelezo Zaidi #piga 0777999331 #sawanawao #sawanawao #sanyasanya

#naamkatena Arusha Eid Mosi - KIBO PALACE HOTEL 10pm- 1am Eid Pili Watoto- LIFE FITNESS 10am-6pm #naamkatena Moshi Eid Pili - HUGOS GARDEN 10pm-1am Kwa Maelezo Zaidi #piga 0777999331 #sawanawao #sawanawao #sanyasanya @jidejaydee @lucmotru91 @wancy_international @1travela#jaydeenation

innorhuwah
(@innoreginald)

2016-06-27 03:20:39

Arusha Arusha Arusha Arusha KIBO PALACE HOTEL Siku ya Eid Mosi VIP 50,000/= Normal 20,000/= Lady JayDee & The Band Zitapigwa Zote Kali Live CALL #0777999331 For VIP Bookings Nunua Ticket Mapema Kuepuka Usumbufu Sio ya Kusimuliwa #naamkatena #naamkatena #sawanawao #sawanawao @jidejaydee

innorhuwah
(@innoreginald)

2016-06-27 03:08:15

Moshi Moshi Moshi Eid Pili At HUGOS GARDEN VIP 30,000 NORMAL 15,000 Lady JayDee & The Band Zitapigwa Zote Kali Live CALL #0777999331 For VIP Bookings Nunua Ticket Mapema Kuepuka Usumbufu #naamkatena #naamkatena #sawanawao #sawanawao @jidejaydee

innorhuwah
(@innoreginald)

2016-06-27 03:04:49

Arusha Arusha Arusha Arusha KIBO PALACE HOTEL Siku ya Eid Mosi VIP 50,000/= Normal 20,000/= Lady JayDee & The Band Zitapigwa Zote Kali Live CALL #0777999331 For VIP Bookings Nunua Ticket Mapema Kuepuka Usumbufu Sio ya Kusimuliwa #naamkatena #naamkatena #sawanawao #sawanawao @jidejaydee

Repost from @proscovier_z using @RepostRegramApp - Supporting our own 🎤🎧🎼 #ladyjaydeeofficialcountdown #naamkatena #thereturnofthequeen 💪🏽

Nasema asante kweli wewe ni mungu #teamsteker #teamnokushindwa #naamkatena #mylifemoto

Nakupenda bure...nimetumia mda mwingi leo kuchek acount yako na kusoma cauption zako nimekuelewa mno!nimefarijika nimejiona kama nimeanza maisha mapya!una maneno mazur kama sura yako!#naamkatena #sikatitamaa #lifegoeson! #mylifemoto @j_n_mengi @j_n_mengi @j_n_mengi My roll modo Big up malkia wa nguvu..

#yeey_summer!!! So my fellow Tanzanians..there's New York, California, Texas and.. Arkansas! Arkansas is a state in the US. Just thought I say so coz people be like where you at..Arkansas?! US?!😂😂 So yeah life's good! I thank God! #naamkatena halafu narudi kulala!

Ni fujo leo! #naamkatena halafu narudi kulala! #summerphotoshoot #iphoneshot #photocredit @noelle_mike

Ni fujo leo..#naamkatena halafu narudi kulala!😂😂 #summerphotoshoot! #iphoneshot! #photocredit @noelle_mike

Bunge Sports Club welcomes @jidejaydee and her team in the parliament in Dodoma before a VIP show tomorrow #naamkatena #naamkatenatourdodoma #naamkatenaconcert #naamkatenatour #ndindindi #mzeewafield #dr_kigwangalla #hk #kigwangalla

DODOMA MKO TAYARIII .. KOMANDO @jidejaydee ANAKUJA 04 JUNE 2016 YAANI JUMAMOSI HII AT ROYAL VILLAGE #naamkatena #dodoma #ladyjaydee #jide #komando #bongoflevatv #amgtz #daressalaam #tanzania

Show ya @jidejaydee ya #naamkatena was historic in so many ways. One artist on stage, performing with a live band on live TV and in front of a sold out crowd!! Hongera Sana!! Other artists have to watch and learn... #legendary #naamkatenaconcert

jeedygirl
(@jeedygirl)

2016-05-21 22:25:25

Tears 4 #love... #naamkatena

prettyamamo
(@prettyamamo)

2016-05-20 15:46:18

#naamkatena

Wema akimkaribisha Baby wake Idris #naamkatena

Neno moja kwao #naamkatena

Mvumo Aaron Balati
(@mvumo)

2016-05-20 15:18:01

Support #ndindindi #naamkatena @jidejaydee @getrich25

Tupia neno lolote kushow love kwa mastaa hawa #naamkatena

Idris Sultan akiwasili ukumbini #naamkatena

Wema Sepetu 'Madam' akimsapoti Jide #naamkatena

Elizabeth Michael 'Lulu` naye alikuwa #naamkatena

Wema Sepetu na King Kiba nao ndani #naamkatena

Lady Jaydee #naamkatena

Mashabiki wa Jide#naamkatena

Lady Jaydee #naamkatena

Lady Jaydee #naamkatena

Lady Jaydee #naamkatena

#naamkatena contet @jidejaydee

Unakosaje kwa mfano..... #naamkatena @jidejaydee

The rains bana na usingizi been keepin me lazy assed #naamkatena he he kama Komando #10kgstogo

#naamkatena Concert from Lady JayDee 20th May 2016 at Mlimani City

RICH GANG
(@msabi_jr)

2016-05-08 11:56:14

Komando who.............? #naamkatena #ndindindi

BONGO_MIX
(@bongomix255)

2016-04-13 08:07:15

@Regrann from @alikiba_page - Nyimbo nzur #ndindindi emu link kwa bio yake usikie @jidejaydee #naamkatena #regrann

sylvia lee
(@sylviarampo)

2016-04-05 13:41:39

Its time!!!..... Ndi ndi ndi... #naamkatena

bongo5.com
(@bongofive)

2016-03-23 08:54:47

#bongo5updates - @jidejaydee amefunguka na kuweka wazi sababu zilizomfanya kutumia idea ya #naamkatena kama kampeni ya ujio wake mpya. Tembelea bongo5.com kusoma zaidi

Its been years since i previously had a Tanzanian song on replay for almost the whole day and cant get bored. Lets all accept @jidejaydee is one of our nation's treasure. Probably one of the best vocalists in our musical history. Its time we start supporting our own and leave aside all the differences. We are one, we've had enough legends falling through drug addiction etc. This needs to stop. Lets appreciate whate we have, lets appreciate the God given tallents of our musicians. #naamkatena 👏👏👏👌 Cc. @jidejaydee @skytanzania @bongo5 @millardayo @chokadj @kaytee @sevenmosha @bikirawakisukuma @eatv @cloudsfmtz @cloudstz @bikira_wa_kisukuma @instagrampartytz

Steve Wasira Jr.
(@wasira2)

2016-03-20 09:27:31

3 hrs after release @jidejaydee's #ndindindi rises to no. 2 on the charts #naamkatena

Tarehe 20 Machi 2016 Malkia wa Bongo Flava Lady Jay Dee anaamka tena! Mrushie neno moja ya kumkaribisha. #naamkatena 20.03.16

Wimbo mpya wa @jidejaydee #ndindindi uko hewani sasa kupitia website ya MKITO au unaweza kubonyeza link iliyopo kwenye bio ya @jidejaydee #ndindindi #naamkatena #letitshine

Wimbo mpya wa @jidejaydee #ndindindi uko hewani sasa kupitia website ya MKITO au unaweza kubonyeza link iliyopo kwenye bio ya @jidejaydee Haya sasa ukishamaliza kusikiliza nipe maoni yako #ndindindi #naamkatena

Seven
(@sevenmosha)

2016-03-20 00:39:23

#laterepost @jidejaydee..... 1 Day To Go Nasimamia Ninachokiamini Na Nafanya Ninachokipenda Moyo Wangu Shujaa Naamka Tena #ladyjaydeeofficialcountdown #naamkatena #thereturnofthequeen @jidejaydee

bongo5.com
(@bongofive)

2016-03-20 00:22:28

#ndindindi official launch #naamkatena

bongo5.com
(@bongofive)

2016-03-20 00:19:49

@jidejaydee na @jihandimack #naamkatena

bongo5.com
(@bongofive)

2016-03-20 00:18:37

@jidejaydee na @lilommy wa Times Fm #naamkatena

bongo5.com
(@bongofive)

2016-03-20 00:11:22

PICHA: LADY JAYDEE ARUDISHA ‘UBINTI’ NA ‘URNB’ KWENYE WIMBO MPYA ‘NDINDINDI’ Lady Jaydee ameamua kuvua gamba na kurudi upya kama binti wa miaka 10 iliyopita na kurejesha ladha aliyoanza nayo na iliyompa umalkia, R&B. Muimbaji huyo mkongwe amefanya uzinduzi wa single yake mpya aliyoipa jina ‘Ndindindi’ Jumamosi hii pale Sky Nightlife, Masaki jijini Dar es Salaam baada ya kuendesha kampeni ya mwezi mzima ya ujio wake mpya, #naamkatena. Akiongea nasi, Jide amesema ameamua kuja na ladha hiyo kwakuwa hakutaka kutabirika. “Kila siku hautakiwi kuwa mtu ambaye unatabirika. Sanaa ni ubunifu, ukifanya kitu kile kile kila siku watu wanachoka kwahiyo inabidi uwe unabadilika ili watu wasikuzoee kila siku,” amesema. Amesema Ndindindi ni wimbo alioshirikiana kuuandika na Terrence Mwakaliku pamoja na msanii wa Uganda, Naava. Wimbo huo umetayarishwa jijini Kampala Uganda na Andy Music na utapatikana kwenye album yake ya saba iitwayo Woman. Amedai kuwa Woman itakuwa ni album yenye mchanganyiko wa ladha na ambayo itaweza kufit kila rika.